Tuesday, November 1, 2011

Mhandisi anapokuwa MC!


Huyo mwenye 'kipimajoto'ndiye aliyekuwa mshehereshaji wetu. Yeye ni rafiki wa Ruth. Walikuwa wote Kilakala Sekondari!

Unapokuwa na MC Engineer hakuna kupoteza muda kwani kila kitu kinakwenda kama ilivyopangwa. Sherehe ilikamilika saa 1.30 usiku na kurudi kwetu kama tuilivyokuja!

No comments: