Tuesday, November 1, 2011

Fikiri Madinda - sasa mwendo wa suti tu!

Fikiri sasa amekuwa mtu wa suti.Ameachana na jeans..... Si yule Fikiri unayemfahamu wewe (Jirani, jirani yangu eh........) enzi zile za Twanga Pepeta ya Kweli ya Shika Ungo! Pichani Fikiri akiwa kazini kwake.

No comments: