Saturday, November 12, 2011

Nilifurahishwa na maandamano haya

Wawata walivalia sare zao
Watoto wa utatu walishiriki barabara kwenye maandamano huku wakiimba kumsifu Mungu
Msaidizi wa Askofu alihakikisha kuwa muda unazingatiwa na kusimamia maandamano vizuri

Masista nao walikuwa na nafasi yao kwenye maandamano
Katekesta alihakikisha kuwa maandamano yanfanyika kwa utaratibu uliowekwa
Paroko wa Ruaha Fr.V.Jakka alishiriki kwenye maandamano
Watoto wa Kipaimara wakiwa kwenye sare zao
Baba Askofu na mapadre katika maandamano

No comments: