Tuesday, November 1, 2011

Mkono wa pongezi wa shemeji!


Nilikuwepo na kuwasilisha mashemeji wote wa Rutgard! Hongera sana shem. Nilikuwepo pale Kilakala wakati ulipohitimu Kidato cha Sita na sasa nimepata fursa ya kushuhudia kuhitimu kwako shahada ya Kwanza (Banzi wa Moro).

1 comment:

ruth said...

Thanx shemeji kwa kweli nimewaapreciate sana kwa support zenu mpaka hapo nilipofikia.May God bless Mr and Mrs Banzi