Tuesday, November 22, 2011

Hii ndiyo UDOM bwana!

Chuo Kikuu Dodoma au kwa kifupi UDOM. Ni chuo kilichojengwa kwa fedha zetu wenyewe. Chuo Kimejengwa katika mandhari mazuri zamani pakiitwa-Chimwaga-CCM.Ungana nami kesho nikupatie baadhi ya majengo ya UDOM.

1 comment:

mamuu4 said...

aisee sijafika UDOM lakini kweli tukiamua tunaweza kufanya mambo jee utunzaji upo maana kwenye idara hiyo wabongoo hatuna mazoea.