Tuesday, November 1, 2011

Wageni waalikwa pamoja na familia



Tulialikwa, tukaitikia, tukajichana kwa kuku na chips.Wengine walikunywa soda. Mimi na Mzee Mapunda tulipata vinywaji vyetu tuvipendavyo!

No comments: