Tuesday, November 1, 2011

Tafrija poa



Kuna watu wanaopenda kufanya tafrija za gharama na mbwembwe. Hebu fuatilia tafrija hii ya shemeji yangu Ruth Mandala (Eng.) iliyofanyika -Rose Garden siku ya tarehe 25/10/2011 baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza (BSc.Telecommunication Engineering) Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam.

No comments: