Tuesday, November 8, 2011

Noah Yongolo ndani ya Banzi wa Moro

Mmoja kati ya wachora vikatuni wakali wa Bongo- Noah Yongolo ameingia ndani ya blog Banzi wa Moro ili kuweza kutangaza kazi yake. Kuanzia leo kila siku nitakuwa nawaletea baadhi ya kazi alizokwisha fanya na kazi mpya. Anayetaka kuwasiliana naye kikazi atumie blog hii atapata ujumbe na kupewa huduma aitakayo kwa makubaliano maalumu. Ungana nami.

1 comment:

Belo said...

Nilikuwa nataka kukushauri kuweka kipengele cha katuni kwenye blog yako kwani zinaburudisha sana na kufundisha.Mimi binafsi ni mmoja ya wapenda katuni za kina Kipanya,Gado,Gwiji,Kingo na wengineo