Tuesday, November 1, 2011

Familia ilimpongeza Ruth



Wakati ulipofika familia ilimpongeza Eng. Ruthgard Mapunda a.k.a. Kadala. Nyimbo za Kingoni zilitawala ukumbi. Si unawafahamu wangoni?

No comments: