Thursday, November 10, 2011

Duka la Nyama la Kisasa


Duka la kuuza nyama linatakiwa kuwa safi, lenye mashine ya kukata nyama (siyo gogo na shoka), jokofu, mzani unaopima vizuri. Jana jioni pale Mbagala Sabasaba nilipata kununua nyama kwenye duka la nyama lenye sifa hizo (pichani)

No comments: