Thursday, November 10, 2011

Mzee wa Bandari je?

Mkude alikumbuka nyumbani Matombo na kucheza na msinga alitukumbusha 'ukae' na jinsiya 'kudeng'a'
Alifungua champaigne
Mkewe Sango Kasiba -mwenye blauz nyeusi(Mama Mkude alikuwepo chini ya mkorosho)
Mr.Lawrence Mkude alitambulishwa (Mzee wa Bandari)

No comments: