Thursday, November 10, 2011

COSTECH yakabidhi hundi kwa DRD


Hatimaye leo tarehe 10/11/2011,Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imekabidhi hundi yenye thamani ya Tshs 1,424,000,000/= kwa Idara ya Utafiti na Maendeleo, Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kwa madhumuni ya kukarabati baadhi ya miundombinu kwenye vituo vya utafiti hapa nchini.

No comments: