Wednesday, November 9, 2011

Mahubiri ya Askofu Nzigilwa

Alisisitiza kuwa watakaopata kipamaira wanatakiwa kuwa askri imara wanatakaolinda imani yao na watambulike kwa hilo na siyo kwa mavazi kama wanavyotambulika wanajeshi
Aliipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuweka msimamo wake katika kupinga 'ushoga' kama tunavyoshinikizwa kutoka nje kinyume na mila, desturi na taratibu zetu

No comments: