Tuesday, November 1, 2011

Kaloleni Shule ya Msingi




Moja ya shule za msingi mjini Morogoro ambazo zimeanzishwa miaka mingi iliyopita ni Shule ya Msingi Kaloleni ambayo ipo karibu kabisa na nyumba za Shirika la Reli baadas ya kuvuka reli ukitokea mjini pale chini darajani. Shule safi, mazingira hebu angalia bango kama ni mgeni si rahisi kutaitambua shule hiyo.

No comments: