Monday, November 10, 2014

Barabara ya Kawawa inaandaliwa kwa mabus ya kwenda kasi

Hapa ni Magomeni QTR jijini Dar. Ujenzi wa barabara ya Kawawa kwa matumizi ya mabus ya kwenda kasi unaendelea. Kituo cha mabus hayo kimeshajengwa. Mbele yake linaonekana jengo la Kanisa Katoliki Parokia ya Magomeni lililokarabatiwa.Ndani ya jengo hili  Bw na Bibi Innocent J.Banzi walifunga ndoa yao mwaka 1997.

No comments: