Monday, November 10, 2014

Wameshindikana?

Hapa ni Jangwani jijini Dar. Nyumba bado zipo. Sehemu hii ya jiji inahistoria ya kukumbwa na mafuriko lakini inaonekana imeshindikana kuwaondoa wakazi wa eneo hili. Tahadhari mvua zinakuja na mafuriko hayako mbali nasi.

No comments: