Monday, November 17, 2014

Biashara ni kujitangaza


Vipeperushi hivi nilivikuta ndani ya ukumbi wa Best Choice uliopo Tabata Aroma. Ni kampuni ya Happiness ikijitangaza kwa huduma za Cake, nguo za maharusi na mambo mengine. Nami sina sababu ya kutomrusha kwenye Banzi wa Moro. Biashara ni matangazo.

No comments: