Monday, November 10, 2014

'Togwa limeingia nzi'

Mdudu nzi kwa asilimia kubwa hapendwi na wanadamu. Mbwiga wa Mbwiguke wa Clouds huwa anasema kuwa 'Togwa limeingia nzi.' Ninavyoelewa mimi togwa ni kinywaji baridi cha asili hasa kwa watu wa Pwani  ni tamu kwa sababu huongezwa sukari kwa maana hiyo lisipotunzwa vizuri mdudu nzi hunyemelea na kwa kuwa nzi ni mdudu mchafu, anapoingia kwenye togwa basi hulichafua na kuwa halifai tena kwa kunywa. Utafakari usemi huu.

No comments: