Monday, November 10, 2014

Wageni waalikwa harusi ya Mpoki Mbetwa



Hawa ni baadhi ya wageni waalikwa waliofurika katika ukumbi wa Marantha-Msimbazi  jijini Dar wakati wa kusheherekea harusi ya Bw & Bibi Mpoki Mbetwa siku ya tarehe 8 Novemba 2014

No comments: