Monday, November 17, 2014

Neema Kirway akiingia ndani ya ukumbi wa Best Choice

Bi Neema Timothy Kirway aliingia ndani ya ukumbi wa Best Choice - Tabata Aroma namna hii akisindikizwa na kaka yake. Siku hizi imekuwa ni style ya aina yake kwa mabinti waagwa  kusindikizwa na ndugu zao wa kiume.

No comments: