Monday, November 10, 2014

Vituo vya mabus ya kwenda kasi Dar


Asilimia 90 ya vituo vya mabus ya kwenda kasi jijini Dar imekamilika. Jana nilishuhudia wafanyakazi wa kampuni ya STRABAG inayojenga barabara ya Morogoro wakifanyia marekebisho ya mwisho kabla ya kuanza kutumia vituo hivyo mara barabara itakapofunguliwa rasmi.

No comments: