Monday, November 10, 2014

Violet keki kwa wakwe

Nitawahudumia hivi. Ndivyo Violet anavyosema wakati alipokabidhi keki kwa familia ya Mbetwa siku ya tarehe 8 Novemba 2014 kwenye ukumbi wa Marantha-Msimbazi, Dar.

No comments: