Monday, November 17, 2014

Send off ya Neema Kirway ndani ya Best Choice Hall


Walipendeza kwa mavazi yao ya heshima na pia walijimwaga uwanjani kwa nyimbo za utukufu wa Mungu. Hivi ndivyo ilivyokuwa siku ya Sendoff ya Neema Timothy Kirway siku ya Ijumaa tarehe 14/11/2014 ndani ya ukumbi wa Best Choice jijini Dar.

No comments: