Wednesday, November 12, 2014

King Mswati III wa Swaziland

Siyo kama hana suti, bali anadumisha utmaduni wa nchi yake ya Swaziland.Huyu ni Mfalme Mswati wa III wa Swaziland. Mfalme huyu hata akipokea wageni mashuhuri ofisini kwake utamkuta katika mavazi hayo. Lakini pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi ya Swaziland wakati mwingine hutilia combat!

No comments: