Monday, October 10, 2011

Babu na wajukuu

Nimepambwa na wajukuu. Huyo mwenye suti ni wajina wangu Bw. Innocent. Kweli nimekula chumvi nyingi. Nimeshaanza kuona wajukuu bado vilembwe! Na hapa ni Mikocheni jana tarehe 9/10/2011

No comments: