Tuesday, October 4, 2011

Kubariki ndoa ya Cleophas

Hivi karibuni katika Kanisa Katoliki Mt. Vicent wa Paolo Parokia ya Vikindu tulishuhudia Bw. Cleophas na mkewe wakipata sakaramenti ya ndoa. Ilikuwa ni ndoa poa na nzuri kweli kweli. Wanandoa wanatoka kando ya ziwa Nyasa huko Ukisini.

No comments: