Monday, October 10, 2011

Katika harakati za kuwahi mnuso Mikocheni

Tulipoondoka Kisemvule kuja mjini tulisafir kwa Benz likiendeswa na mke wangu mzungu a.k.a Africana. Tulipofika Chang'ombe tulibadilisha gari tukaingia kwenye Landrover na kuendeshwa na Dada Doreen hadi Mikocheni na kuwahi mnuso wa komunio

No comments: