Monday, October 3, 2011

Ninawakumbusha Africana


Wanachama wa 'Africana Group' mnakumbushwa kuwa kikao kitafanyika tarehe 09 Oktoba 2011 siku ya Jumapili saa 6.00 mchana huko kijijini Kisemvule, wilaya Mkuranga, mkoa wa Pwani (Kwa Inno Banzi). Kuwahi ni jambo la muhimu sana. Ubwabwa wa nazi utakwepo.

Mnakaribishwa

I.J.Banzi
Mwenyeji/Mkiti wa Kikao

No comments: