Monday, October 3, 2011

Let us Talk Mathematics



Bright Angels wamepania kukuza vipaji vya hesabu. Kila mwaka huandaa tamasha la kuwahamasisha wanafunzi kuelewa, kujifunza na kupenda hesabu. Huwakutanisha wanafunzi kutoka shule za jirani hasa wa sekondari. Ukifanya mazoezi na ukipenda hesabu siyo ngumu.

No comments: