Tuesday, October 4, 2011

Kuvikana pete

Ndipo Cleophas alipomvika pete ya harusi mkewe. Hivi kwanini tunavikana pete wakati wa kufunga ndoa? Maana yake ni nini. Je wanandoa wanafahamu? Wasomaji naomba maelezo.

No comments: