Tuesday, October 4, 2011

Ni wakati wa dansi!

Bwana na Bibi Cleophas walitufungulia dansi. Mpaka wakati huo Banzi wa Moro alikuwa ukumbini. Sherehe hii ilifana sana mc aliyetulia,muziki wa nguvu, msosi, vinywaji, lakini wengi hatukuchangia tulialikwa tu ndo maana nilisema ilikuwa harusi poa! HONGERA Bw & Bibi Cleophas karibuni kwenye klabu ya furaha ya wanandoa.
Ndoa aina hii hudumu.

No comments: