Tuesday, October 18, 2011

Hapa ndipo tulipofikia

Moja ya noti chakavu ya Tshs 500 niliyoipata juzi. Noti hii imenyofolewa utepe unaong'ara. Eti wanasema utepe huo unakilevi ndiyo maana hunyofolewa na wanatumia kilevi hicho! Ikumbukwe kuwa noti hii ni moja ya aina mpya za noti zilizotolewa na Benki Kuu ya Tanzania. Hivi kweli hapa ndipo Watanzania tulipofikia?

1 comment:

Belo said...

Ukweli ni kwamba hizo noti mpya ni za ubora wa chini kuliko zile za mwanzo.Miaka 50 ya uhuru lakini bado tunashindwa hata kutengeneza noti zenye ubora