Monday, October 3, 2011

Mwezi Septemba mwaka huu familia ilipata msiba wa kuondokewa na mzee wetu Jerome Huggo a.k.a Babu Jerome. Huyu ndiye mzee ambaye alikuwa na kumbukumbu nyingi za familia na hata kanisa Katoliki lilivyoingia Matombo. Nilibahatika kuhudhuria mazishi yake. Pichani mpwa wake Dr. Gregory akiwa msibani.

No comments: