Monday, October 3, 2011

September haikuwa nzuri kwangu


Majukumu ya kikazi, familia pamoja na mgao wa umeme umeiathiri sana blog hii. Mwezi Septemba sikuwatendea haki wapenzi wa Banzi wa Moro. Nina mengi ya kuwajuza kupitia blog hii. Poleni sana. Tuko pamoja.

No comments: