Monday, October 10, 2011

Na hawa walikuwa wakicheza barazani

Banzi wa Moro iliinyaka hii huko Mikocheni siku ya Jumapili tarehe 9/10/2011. Raha iliyoje jamani. Hapa shida zimetupwa mgongoni!
Blog yangu iliangaza hapa. Ni kulekule Mikocheni. Maliza mwenyewe. Mimi sisemi.

No comments: