Kituo cha Utafiti wa Kilimo Selian Arusha ambacho ni makao makuu ya utafiti ya kanda ya Kaskazini kwa miaka mingi imekuwa ikitafiti aina bora za maharage ambazo hutoa mazao mengi, ladha nzuri, zinastahimili ukame na magonjwa. Kwa kufuata kanuni bora za kilimo wakulima wanaweza kuongeza uzalishaji wa zao la maharage kwa kutumia mbegu hizi kama vile Jesica,Lyamungu na Selian ............Mbegu hizi zimeshasambazwa kwa wakulima na wanazitumia kwa uzalishaji (Picha kwa hisani ya Livingstone Mwedipando wa ARI-Selian)
No comments:
Post a Comment