Friday, October 5, 2012

Mbuzi wa 'Side' -Tanga

Saidi a.k.a Side na mkulima kijana anaishi Tanga na kujikita katika masula ya Kilimo na Ufugaji. Tulipomtembelea Side shambani kwake hatukutamani kutoka. Side ana kila kitu. Ng'ombe, mbuzi, kuku, shamba la mahindi, bwawa, miembe, minazi vyote hivyo anavitunza kitaalamu na yuko na ari kubwa kupata ushauri wa kitalaamu. Rafiki zake Side ni kiuto cha Utafiti wa Mifugo Tanga. (Pichani baadhi ya mbuzi wa Side)

No comments: