Monday, October 8, 2012

'MPINGO HOUSE'

Jengo la Makao MakuU ya Wizara ya Mali ya Asili na Utalii- 'MPINGO HOUSE' Jengo hili lipo jijini Dar karibu kabisa na Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali maeneo ya Keko- barabara ya Nyerere. Ni moja ya Wizara chache iliyopo nje kidogo ya jiji.

2 comments:

Mc FR said...

jengo ni la ukweli. karibu usome blogu yangu ktk link hiyo chini
MAMBO YANAYOSABABISHA KUPOTEZA NGUVU ZA KIROHO/ MUNGU
http://tanzaniagospel.blogspot.com/

Innocent John Banzi said...

Asante ndugu Festus Kahaya kwa kusoma blog yangu na kutoa maoni yako. Nitasoma na kutoa comments inapobidi