Wednesday, October 3, 2012

Maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Utafiti

Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo katika Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Dr. Fidelis Myaka (kushoto)akitoa maelezo kwa Waziri wa Kilimo wa Burundi aliyetembelea kituo cha Utafiti wa Kilimo Selian hivi karibuni (Picha kwa hisani ya Livingstone Mwedipando- ARI-Selian, Arusha)

No comments: