Tuesday, October 2, 2012

Huenda tunasali na rais wa mwaka 2050!

Ni nadra sana kwa mtoto Malik (mwenye tai) kukosa ibada ya Jumapili na huhakikisha kuwa ametoa sadaka. Ndiyo, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Huenda tunasali na Rais wa nchi hii wa mwaka 2050!

No comments: