Tuesday, October 2, 2012

Nje ya kanisa

Nje ya kanisa haya yaliendelea
Watoto hawa walikuwa wakichezea maji
Na mama huyu alihakikisha kuwa mtoto wake anabembelezwa kwa kumbeba mgongoni huku ibada ikiendelea. Nani kama mama?

No comments: