Tuesday, October 2, 2012

Waimbaji walitumbuiza kanisani

Kinanda kilibonyezwa na waimbaji waliimba kwa shangwe wakiwa na sare zao mpya.Hapa ni Vikindu kanisani siku ya sikukuu ya Mt. Visent wa Paulo, iliyoazimishwa parokiani tarehe 30/9/2012

No comments: