Tuesday, October 2, 2012

DAR -ENTEBBE-DAR

Wateja wa Banzi wa Moro. Kwa kipindi cha juma moja nilisafiri kwenda Entebbe Uganda kuhudhuria mafunzo ya muda mfupi ya upelembaji na tathmini ya matunda ya mawasiliano na habari hasa katika sekta ya Kilimo. Huko nilikutana na wataalamu wa kilimo wengi wakiwa kutoka bara la Afrika na hasa Afrika ya Mashariki na Kusini. Mambo mengi yalizungumzwa hasa jinsi ya kujenga uwezo kwa vyuo vyetu vikuu vya Kilimo ili kuweza kutoa wataalamu walioiva na pia kufanya tafiti zitakazotoa majibu ya matatizo ya uzalishaji katika kilimo.

1 comment:

Belo said...

Next time ukiwa Airport jaribu kuni-check kwenye simu