Friday, October 5, 2012

Cake ya Ng'ombe

'Hay' ni cake ya ng'ombe ni chakula ambacho ng'ombe hutumia wakati wa uhaba wa malisho hasa wa kiangazi. Majani haya huvunwa yakiwa bado yanavirutubisho muhimu kwa malisho ya wanyama. Huhifadhiwa na kisha hulisha ng'ombe kwa wakati muafaka. Pichani Hay ikiwa imehifadhiwa kwenye kituo cha Utafiti wa Mifugo - Tanga

No comments: