Wednesday, October 3, 2012

Utafiti wa mtama Tanzania

Hili ni moja ya shamba la majaribio ya utafiti wa zao la mtama huko Miwaleni mkoani Kilimanjaro. Utafiti huu unafanywa na watafiti wa kituo cha Utafiti Selian kilichopo mkoani Arusha chini ya mradi wa HOPE. Lengo la utafiti huu ni kuwawezesha wakulima kuzalisha mazao yanayostahimili ukame ili kujitosheleza kwa chakula na kuongeza kipato. (Picha na maelezo kwa hisani ya Livingstone Mwedipando wa ARI-Selian, Arusha)

No comments: