Tuesday, October 2, 2012

Ziwa Victoria-Uganda

Ukiwa Entebbe ni jiji na bandari kwa nchi ya Uganda ni roho ya Uganda. Entebbe pia ndiko kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa. Ukiwa Entebbe ni kama vile uko Mwanza. Isipokuwa udongo wa Entebbe ni mwekundu.

No comments: