Tuesday, October 2, 2012

'Ndere' walialikwa kutupa burudani

Afrika ipo juu kwa utamaduni. Tukiwa Entebbe Uganda,kuna wakati wenyeji (RUFORUM) walialika kikundi maarufu cha utamaduni nchini Uganda kijulikanacho kwa jina la Ndere kilitoa burudani ya hali ya juu kwa kucheza ngoma mbalimbali za utamaduni za Uganda na hata Burundi
Na hili ndilo bus la kikundi cha Utamaduni 'NDERE' bus hili husaidia sana kikundi kwa usafiri ni bus zuri la aina yake.

No comments: