Tuesday, October 2, 2012

Watoto walibatizwa

Siku ya ubatizo wangu............ Nyimbo hii ilinikumbusha mbali sana. Ndiyo, Kanisa limepata wakristu wapya. Njooni tuitangaze injili kwa mambo mema kama alivyofanya Bwana wetu Yesu Kristu. Hapa ni Vikindu tarehe 30/9/2012. AMINA.

No comments: