Friday, October 5, 2012

Maembe hupatikana wakati wote -Tanga

Ukitaka kula maembe wakati wowote, tembelea mkoa wa Tanga hasa wilaya za Korogwe na Muheza. Tanga imebahatika kuwa na maembe ya aina nyingi.Iwapo utawekwa mkakati wa dhati wa kuufanya mkoa wa Tanga uwe maarufu kwa matunda kwa kuimarisha kilimo cha maembe na machungwa na ikiwezekana kuanzisha viwanda vya kisasa vya matunda tunaweza kuwatoa wakulima katika dimbwi la umasikini. (Pichani maembe machanga mtini-wilaya ya Muheza)

No comments: