Tuesday, October 2, 2012

Wahadhiri wanapopewa 'dose'

Mafunzo ya 'Inf4Dev' kule Entebbe yalihusisha wahadhiri wengi. Kulikuwa na madaktari wengi na maprofesor pia.Mambo haya ya information kwa wengi ni mageni kwao kwani walio wengi walikuwa ni Plant and Animal breeders, Soil scientists, Agronomists, Agricultural Economists lakini waling'ang'ana mpaka mwisho

No comments: